SEKUNDE/Sekunde Second/seconds
DAKIKA/Dakika Minute/Minutes
SAA/Saa Hour/Hours
SIKU/Siku Day/Days
MCHANA Daytime
ASUBUHI Morning
USIKU Night
JIONI Evening
MAGHARIBI Dusk/Sunset
MAPAMBAZUKO/ALFAJIRI Dawn/Sunrise
WIKI/JUMA Week/Weeks
MWEZI/Miezi Month/Months
MWAKA/Miaka Year/Years
KIZAZI/Vizazi Generation/Generations
KARNE/Karne Century/Centuries
ENZI Era
MSIMU/Misimu Season/Seasons
KIANGAZI Dry-season
KIPUPWE Winter
MASIKA Rainy Season
UPEPO Wind
KIMBUNGA/Vimbunga Cyclone/Cyclones
MVUA Rain
MBINGU/MAWINGU Sky/Skies/Cloud/Clouds
LEO Today
JANA Yesterday
JUZI Day before yesterday
KESHO Tomorrow
KESHO KUTWA Day after tomorrow
MTONDO The third day
MTONDO GOO (Kushinda mtondo) The fourth day
JUMAMOSI Saturday
JUMAPILI Sunday
JUMATATU Monday
JUMANNE Tuesday
JUMATANO Wednesday
ALHAMISI Thursday
IJUMAA Friday
MASHARIKI East
MAGAHARIBI West
KASKAZINI North
KUSINI South
KUSINI - MASHARIKI South East
KUSINI- MAGAHARIBI South West
KASKAZINI - MASHARIKI North East
KASKAZINI - MAGAHARIBI North West
JUA/Jua Sun/Suns (also: Jua = know)
MWEZI/Miezi Moon/Moons
SAYARI/Sayari Planet/Planets
NYOTA/nyota Star/Stars
DUNIA Earth
ULIMWENGU Universe
|