Names Index
Family Trees
Interactivity
History
Family Photos & Websites
Zanzibar
Guestbook
Photo  Collections
  Personalities

REMEMBERING SWAHILI WORDS - PART 2

Part 1 | Part 2 | Part 3 |Part 4 | Part 5 | Part 6 |

Click here to view Swahili Videos
  (Click here to read some of the Slang Swahili words used)

 

                                        NUMBERS AND ARITHMETIC

NUMBERS

SIFURI/ZERO                                            0
MOJA                                                   1
MBILI                                                  2
TATU                                                   3
NNE                                                    4
TANO                                                   5
SITA                                                   6
SABA                                                   7
NANE                                                   8
TISA                                                   9
KUMI                                                   10
KUMI NA MOJA                                           11
KUMI NA MBILI                                          12
KUMI NA TATU                                           13
KUMI NA NNE                                            14
KUMI NA TANO                                           15
KUMI NA SITA                                           16
KUMI NA SABA                                           17
KUMI NA NANE                                           18
KUMI NA TISA                                           19
ISHIRINI                                               20
ISHIRINI NA MOJA                                       21
ISHIRINI NA MBILI                                      22
ISHIRINI NA NANE                                       28
ISHIRINI NA TISA                                       29
THELATHINI                                             30
THELATHINI NA MOJA                                     31
THELATHINI NA MBILI                                    32
THELETHINI NA TATU                                     33
THELATINI NA NANE                                      38
THELATHINI NA TISA                                     39
AROBAINI                                               40
AROBAINI NA MOJA                                       41
AROBAINI NA MBILI                                      42
AROBAINI NA NANE                                       48 
AROBAINI NA TISA                                       49
HAMSINI                                                50
HAMSINI NA MOJA                                        51
HAMSINI NA MBILI                                       52
HAMSINI NA TATU                                        53
HAMSINI NA NANE                                        58
HAMSINI NA TISA                                        59
SITINI                                                 60
SITINI NA MOJA                                         61
SITINI NA MBILI                                        62
SITINI NA NANE                                         68 
SITINI NA TISA                                         69
SABINI                                                 70
SABINI NA MOJA                                         71
SABINI NA MBILI                                        72
SABINI NA NANE                                         78 
SABINI NA TISA                                         79
THEMANINI                                              80
THEMANINI NA MOJA                                      81
THEMANINI NA MBILI                                     82
THEMANINI NA TATU                                      83
THEMANINI NA NANE                                      88
THEMANINI NA TISA                                      89
TISINI                                                 90
TISINI NA MOJA                                         91
TISINI NA MBILI                                        92
TISINI NA NANE                                         98 
TISINI NA TISA                                         99
MIA MOJA                                               100
MIA MOJA NA MOJA                                       101
MIA MOJA NA MBILI                                      102
MIA MOJA NA NANE                                       108 
MIA MOJA NA TISA                                       109
MIA MOJA NA KUMI                                       110
MIA MOJA NA KUMI NA MOJA                               111
MIA MOJA NA KUMI NA MBILI                              112
MIA MOJA NA KUMI NA NANE                               113
MIA MOJA NA KUMI NA TISA                               119
MIA MOJA NA ISHIRINI                                   120
MIA MOJA NA ISHIRINI NA MOJA                           121
MIA MOJA NA ISHIRINI NA MBILI                          122
MIA MOJA NA ISHIRINI NA NANE                           128
MIA MOJA NA ISHIRINI NA TISA                           129
MIA MOJA NA THELATHINI                                 130
MIA MOJA NA THELETHINI NA MOJA                         131
MIA MOJA NA THELETHINI NA TISA                         139
MIA MOJA NA AROBAINI                                   140
MIA MOJA NA AROBAINI NA MOJA                           141
MIA MOJA NA AROBAINI NA MBILI                          142
MIA MOJA NA AROBAINI NA NANE                           148
MIA MOJA NA AROBAINI NA TISA                           149
MIA MOJA NA HAMSINI                                    150
MIA MOJA NA SITINI                                     160
MIA MOJA NA SABINI                                     170
MIA MOJA NA THEMANINI                                  180
MIA MOJA NA TISINI                                     190
MIA MBILI                                              200
MIA MBILI NA MOJA                                      201
MIA MBILI NA KUMI                                      210
MIA MBILI NA KUMI NA MOJA                              211
MIA MABILI NA ISHIRINI                                 220
MIA MBILI NA TISINI NA TISA                            299
MIA TATU                                               300
MIA NNE                                                400
MIA TANO                                               500
MIA SITA                                               600
MIA SABA                                               700
MIA NANE                                               800
MIA TISA                                               900
ELFU MOJA                                              1,000
ELFU MOJA NA MOJA                                      1,001
ELFU MOJA MIA MOJA NA MOJA                             1,101
ELFU MOJA MIA TISA NA TISINI NA TISA                   1,999
ELFU MBILI                                             2,000
ELFU TISA                                              9,000
ELFU KUMI                                              10,000
ELFU KUMI, NA MOJA                                     10,001
ELFU KUMI-NA-MOJA (KUMI NA MOJA ELFU)                  11,000
ELFU KUMI-NA-MBILI                                     12,000
ELFU ISHIRINI                                          20,000
ELFU TISINI                                            90,000
ELFU TISINI NA TISA, MIA TISA NA TISINI NA TISA        99,999
LAKI MOJA                                              100,000
LAKI MBILI                                             200,000
LAKI TISA                                              900,000
MILIONI MOJA                                           1,000,000
MILIONI MBILI                                          2,000,000
BILIONI MOJA                                           1,000,000,000,000
LUKUKI                                                 UNCOUNTABLE


SEHEMU - FRACTIONS AND DECIMALS

NUSU                     - Half (1/2)
ROBO                     - Quarter (1/4)
THELUTHI                 - One Third (1/3)
SUDUSU                   - One Sixth (1/6)
THUMUNI                  - One eigth (1/8)


DECIMALI - DECIMALS

2.01 = Mbili nukta sifuri moja
20.59 = Ishirini nukta tano tisa (Ishirini nukta hamsini na tisa)


ASILIMIA - PERCENTAGES

Asilimia moja            -         1 %
Asilimia kumi            -         10 %
Asilimia ishirini        -         20 %
Asilimia tisini na tisa  -         99 %
Asilimia mia moja                  100 %


ORDINAL NUMBERS

Ya kwanza -                   First
Ya Pili -                     Second
Ya tatu                       Third
Ya nne                        Fourth
Ya tano                       Fifth
Ya sita                       Sixth
Ya saba                       Seventh
Ya nane                       Eighth
Ya tisa                       Ninth
Ya kumi                       Tenth
Ya kumi na moja               Eleventh
Ya kumi na mbili              Twelveth
Ya kumi na tisa               Nineteenth
Ya ishirini                   Twentieth
Ya arobaini                   Fortieth
Ya tisini                     Ninetieth
Ya mia                        Hundredth

The use of preposition "of" ( "ya"; "cha"; "wa"; "la")


Mifano - Examples:

Sherehe hii ni "ya" kwanza (This festival is the first)
Fredi ni "wa" ishirini (Fred is twentieth)
Maria ni "wa" kwanza (Mary is first)
Kituko "cha" kwanza (First occurrence/event)
Darasa "la" kwanza


KUJUMLISHA (ADDITION) NA KUTOA (SUBTRACTION)

ALAMA = SIGNS

+    Kujumlisha (to combine) / kuongeza (to add)
-    Kutoa (to subtract) / kuondoa(to take away)
x    Kuzidisha (to multiply)
/    Kugawa (to divide)

KUJUMLISHA = KUONGEZA

28 + 10 = 38   (Ishirini na nane kujumlisha(kuongeza) kumi ni sawa na
               thelethini na nane). Note: "ni" = is

               (Twenty added to (i.e. plus) ten is equal to thirty
               eight)

28 - 10 = 18   (Ishirini na nane kutoa(kuondoa) kumi ni sawa na kumi
               na nane).

               (Twenty subtract (i.e. minus) ten is equal to
               eighteen)

KUZIDISHA = MULTIPLICATION

28 x 10 = 280  (Ishirini na nane kuzidisha na kumi ni sawa na mia
               mbili na themanini).

               (Twenty-eight multiplied by (i.e. times) ten is equal
               to two hundred and eighty).

KUGAWA = DIVISION

28 / 10 = 2.8  (Ishirini na nane kugawa kwa kumi ni sawa na mbili
               nukta nane).

               (Twenty divided by ten is equal to two point eight)

 

 

Part 1 | Part 2 | Part 3 |Part 4 | Part 5 | Part 6 |


 

Click here to view Swahili Videos
  (Click here to read some of the Slang Swahili words used)


 to Video Compilation Main Page

 to Zanzibar Photos Page


Last updated June 2020
Copyright © Mahmood Fazal 2020 - All Rights Reserved
Created By Husain Fazal